Pages

Sunday, January 13, 2013

DULLY SYKIES:-NAOMBA RADHI MASHABIKI WANGU KWA TUHUMA ZINAZOMKABILI BAUNSA WANGU

Yaani nimeumia sana baada ya kupata taarifa hizi za Arafat Ngumi Jiwe ingawa sijui kama za kweli au laa, lakini mbali na hayo ni habari chafu ambazo zinaweza kunichafua hata mimi kwa sababu huyo ni jamaa yangu wa karibu. 

Kitendo hicho cha kulawiti mtoto na mimi nikiwa kama baba kinanigusa kwa uchungu sana na kama ni kweli sheria itachukua mkondo wake ili kudhibiti watu wenye tabia hizo chafu.

0 maoni:

Post a Comment

Labels