Pages

Thursday, January 10, 2013

ROMA Azungumza Na Fans Hip-Hop Tanzania

    
Mkali wa Hip-Hop kutoka Bongo, ROMA amezungumza na mashabiki na wapenzi wa muziki wa aina hiyo hapa nchini...

ROMA, rapper kutoka Tanga, aliyejinyakulia tuzo mbili kutoka KTMA Tanzania, amewaambia mashabiki kuwa huu ndio wakati wa ku-support muziki wa hip-hop ikiwemo show za jukwaani zinazoandaliwa.

      Akiendelea kuchambua, ROMA alisema ni wakati wakushindana na wale wanaoimba ambao wameonekana kupata support kubwa kutoka kwa mashabiki wao akitolea mfano Diamond, Shetta, Rich Mavoko, Sumalee, AliKiba.

0 maoni:

Post a Comment

Labels