Pages

Thursday, March 07, 2013

[COMING SOON tRACK]:I 2the Y - IMANI YA MOYO

Baada ya kuachia Track yake inayoenda kwa jina 'USINIACHE' Msanii I 2The Y [Emma B] amesema yupo kwenye hatua za awali za kuaanda Hit yake nyingine mpya ambayo itafanyika katika Studio za Suma Records kwa Yule yule producer wa Ngoma yake ya kwanza na ngoma hiyo inaenda kwa jina la 'IMANI YA MOYO',Joint hiyo inatarajiwa kuachiwa mwezi wa tano mwanzoni kwa mashabiki wa I 2The Y kaeni mkao wa Burudani zaiiiiidi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels