Pages

Monday, March 11, 2013

KARIBU DAR INTRO BY KALA JEREMIAH FT BEN POL

 
 Kama unakumbuka wiki iliyopita tulikuletea habari kuhusu rapper Kala Jeremiah kuwa yuko mbioni kuachia ngoma yake nyingine, hii akiwa ameshirikiana na mwanamuziki mwenye miondoko ya RnB maarufu kama Ben Pol.

Sasa habari kutoka kwa rapper huyu ni kuwa ameamua kufunguka zaidi kuhusiana na ujio wa hiyo track yake ya ''Karibu Dar''.

0 maoni:

Post a Comment

Labels