Pages

Sunday, March 10, 2013

DIAMOND PLATINUMZ AKIZUNGUMZIA MALENGO YAKE YA KUJENGA MSIKITI

Licha ya Msanii huyu Diamond kumjengea Nyumba yakuishi Mama yake mzazi yenye thamani za kitanzania  ya zaidi yashilingi milioni 200,sasa msanii huyo anayefanya poa na kazi yake ya Kesho kwenye Industry ya muziki amesema kuwa mpango wake wa kujenga msikiti bado upo hayo ameyasema kupitia Top 20 za Redio Clouds  leo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels