Pages

Thursday, March 07, 2013

RAPA GUCCI MANE ABADILI MAWAZO BAADA YA KUTANGAZA JINA JIPYA.!


Baada ya kutambulisha jina lake jipya kupitia mtandao
 wa kijamii wa twitter, Gucci Mane ameamua kubadili mawazo
 hayo muda mfupi na kuamua kurudia jina lake hilo hilo.
Gucci Mane alitangaza kubadili jina na kujiita "Guwop" mapema leo
 hii, lakini baada ya muda mfupi alibadilisha mawazo na kuamua 
kubaki na jina lake.
rapa huyo kutoka atlanta, Georgia,aliandika kupitia twitter leo hii 
kutangaza jina hilo jipya, ambapo aliandika  kuwa rasmi ataanza
 kujulikana kama Guwop itakapofika tarehe 2 july
"July 2nd I'm officially changing my rap name to Guwop and
 retiring the great GucciMane Thanks Fans, for 8 years as Gucci 
now it's Wop turn," aliandika
lakini muda mfupi baada ya kubadili jina lake, alirudi na kuandika
 tena kuwa atabaki kuwa na jina hili hilo Gucci Mane kwasababu
 mashabiki wake wameamua hivyo.
 "I am officially NOT changing my name to Guwop it will 
officially stay Gucci Mane due to my Fans' response.. Trap 
House 3 & Juug House July 2" aliandika 
Gucci angekuwa mmoja wa ma MC walioamua kubadili majina yao
 publicly kama angebaki na wazo hilo, kama unakumbuka Snoop
 Dogg aliamua kubadili na sasa anajiita Snoop Lion, Mos Def hivi
 karibuni kawa Yasiin Bey na N.O.R.E. amekuwa P.A.P.I.
 Gucci kwa sasa ameachia mixtape yake mpya Trap God 2 na
 Free Bricks 2 akiwa na Young Scooter

0 maoni:

Post a Comment

Labels