Pages

Saturday, March 09, 2013

UHURU MUIGAI KENYATTA AMEIBUKA MSHINDI NA KUTWAA URAIS NCHINI KENYA


BREAKING NEWS

Hatimaye aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya kupitia chama cha The National Alliance Party (TNA), Uhuru Muigai Kenyatta ameibuka mshindi na kutwaa urais kwa jumla ya kura 6,173,433, na kumbwaga Raila Odinga aliyepata kura  5,340,546 kutoka majimbo yote 291.

Bwana Uhuru Muigai Kenyatta ametangazwa rasmi na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) na sherehe za kuapishwa kwake zitafuata.

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Mr.Issack Hassan ameyatangaza hayo matokeo leo mchana saa 8.Hatimaye aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya kupitia chama cha The National Alliance Party (TNA), Uhuru Muigai Kenyatta ameibuka mshindi na kutwaa urais kwa jumla ya kura 6,173,433, na kumbwaga Raila Odinga aliyepata kura 5,340,546 kutoka majimbo yote 291.

Bwana Uhuru Muigai Kenyatta ametangazwa rasmi na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) na sherehe za kuapishwa kwake zitafuata.

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Mr.Issack Hassan ameyatangaza hayo matokeo leo mchana saa 8.

0 maoni:

Post a Comment

Labels