Pages

Wednesday, March 27, 2013

BANANA ANAMPANGO WAKUFANYA KAZI NA WYRE

Banana

Banana Zoro, msanii wa muziki ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye chati mbalimbali za muziki kwa ngoma yake ya sio kama wale, ameamua kuweka hadharani kijisehemu cha mipango yake mikubwa kabisa ambayo anaifanya katika muziki wake kwa mwaka huu.


Msanii huyu ameweka wazi kuwa katika ratiba zake nyingi pia kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kufyatua kazi poa sana akiwa amemshirikisha msanii Wyre The Love Child kutoka Kenya, kazi ambayo wapenzi wa muziki taya wamkwishaijengea picha itakuwaje.
Wyre

Kuhusu jina la ngoma hii na sehemu ambayo inafanyika, Banana bado hajaweka wazi ila, word is... the   track is on the way.


The new tune is about to get out there soon, na kutokana na uzoefu na uwezo wa wasanii hawa, the joint is gonna be a BOOMB!!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels