Pages

Monday, March 18, 2013

CHEKI ALICHOKIFANYA WIZKID KAMA SHUKRANI KWA KUFANIKIWA KIMUZIKI

Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake.


Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote.

Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati

0 maoni:

Post a Comment

Labels