Pages

Sunday, March 10, 2013

PICHA / ZA UTUPU ZA MWANADADA ''SAPNA'' WA VIDEO YA JAMBO JAMBO YA ''STEVE RnB ''

  

Mastaa wa Bongo bado waendelea kutikisa mitandaoni na  picha zao za utupu walizopigwa na kujipiga wao wenyewe na kuvuja kama ilivyo kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambo Jambo wa msanii Steve RnB, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.

Rafiki wa video queen huyo ambaye ndie aliyewasilisha picha hizo na kutaka jina lake lisiweekwe hadharani alisema
 “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.
  Aidha alizidi kuongeza kuwa picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo ni mahali video queen huyo huishi yeye pamoja na rafiki yake huyo.

BAADA YA PICHA HIZI KUSAMBA NDIO SAPNA ALIPO TAFUTWA NA KULIZWA NA ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA.....

“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.

“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.

3 maoni:

Labels