Pages

Wednesday, March 20, 2013

ENTARTAINMENT UPDATES: LIL WAYNE ATOKA ICU



Rapa Lil Wayne baada ya afya yake kuonekana kuimarika siku hadi siku hatimaye ametoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU)na kuhamia katika chumba cha kawaida katika hospitali Cedars Sinai iliyopo jijini Los Angeles

Alikaa katika chumba hicho takribani siku 6 akiwa yupo chini ya uangalizi makini, alifikishwa hospitali hapo siku ya jumatano ya wiki iliyopita

0 maoni:

Post a Comment

Labels