Pages

Monday, March 11, 2013

HAWA NDIO WASANII WATAKAOPIGA SHOW KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MICHELLE OBAMA

Adelle
Beyonce
Kufuatia taarifa za sherehe kubwa za maadhimisho ya kutimiza miaka 50 (Golden Jubilee) tangu kuzaliwa kwake First Lady, Michelle Obama ambayo itafanyika tarehe 17 Januari Mwaka ujao, Tayari wasanii mahiri - Beyonce a.k.a Mama Blue Ivy pamoja na Adelle wameshatajwa kuwa katika orodha ya watumbuizaji siku hiyo.
Michelle
Za moto moto zinaweka wazi kuwa tarari Michelle ameshawapa taarifa hizi wasanii hapa, na kati yao tayari Adelle amekwisha kubali mara moja kuwa kati ya watia ladha katika siku hii kubwa ya Michelle na Beyonce pia anatarajiwa kukubali bila kipingamizi.

Maandalizi ya mapema kabisa ya shughuli hii ni moja ya vitu ambavyo vinawaaminisha watu kuwa Januari 17 2014 itakuwa ni bonge moja la siku katika historia ya Familia ya Obama.
Obama Family

0 maoni:

Post a Comment

Labels