Pages

Wednesday, March 27, 2013

DEEK RICHARDS AFARIKI DUNIA...

Mwimbaji wa Muziki wa Pop Nchin Marekani na Mtunzi Maarufu
wa Kundi la Jackson 5 Amefariki Dunia....
Deek Richards amefariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka (59)
Mjini Philadephia,Marekani...!!
Ingawa Familia ya Deek Aijaweka wazi aswa Kipi kilichopeelkea
kifo chake Mtunzi huyo wa Jackson 5 na Producer wa Motown Records
aliewasaidia Jackson 5 Ku Hit na Vibao Kadhaa kama
Umaarufu wa Richards unakuja kutokana na kuwahi
 kumuandikia Diana Ross “Love Child” “The Supremes” na
“I’m Still” Waiting ambazo zinatamba hadi leo
Richards atakumbukwa pia kwa vibao alivyowahi
 kumuandikia na Martha Reeves & The Vandellas
 pamoja na Bobby Darin.

Kazi ya mwisho ya Richards ilikuwa ni mixing ya wimbo 
wa nane wa Martha Reeves & The Vandellas kwa ajili ya 
maadhimisho ya miaka 50 ya mafanikio ya band yao ambapo 
event yao ingefanyika april 5 mwaka huu.
Aidha mkongwe huyo ameacha majonzi makubwa hasa kwa 
band ya Jackson 5 kutokana na baadhi ya kazi kama “I Want You Back,
” ”ABC,” and “The Love You Save” alizo waandikia na kuwafanya
 watambulike na kuvuma ulimwenguni.

0 maoni:

Post a Comment

Labels