Pages

Monday, March 18, 2013

Nicky Minaj nae amtembelea Lil wayne Hospitalini

Nicki Minaj

The best rapper alive kiongozi wa kundi la YMCMB mtu mzima Lil wayne juzi kati alikimbizwa Hospital Baada ya kuzidiwa na kudondoka chini na kupoteza fahamu mpaka mmoja wa walinzi wake alipomuona na kumkimbiza hospitali akiwa kwenye hali mbaya sana na kwa taarifa tulizo zipata ni kua Lil wayne mpaka sasa yupo kwenye chumba cha wagonjwa maututi "ICU" ambapo watu kibao walionekana hospitalini hapo wakiwemo members wa kundi lake kama "Nicki, Drake, Birdman, and Clippers star Chris Paul"
 
Taarifa zinasema kua Rapper huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa seizures. yani kwa lugha ya kiswahili ni Kifafa na imemtokea hivyo kwa mara ya tatu sasa na sababu ni kutumia madawa mengi sana yakulevya....

0 maoni:

Post a Comment

Labels