Pages

Wednesday, March 13, 2013

[NEW SONG ......VERY HOT]:-KALA JEREMIAH FT BEN POL - KARIBU DAR

Baada ya kutesa kwa takribani miezi sita na joint lake "Dear God', kwenye chati za radio na Tv stations mbali mbali, akishika nafasi ya kwanza, leo hii ameamua kudondosha joint nyingine ya pili kutoka kwenye albaum  yake hiyo (pasaka), joint inayoitwa KARIBU DAR akiwa amemshirikisha mkali wa R&B bongo Ben Pol, mkono ukiwa wa producer Mbezi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels