Pages

Friday, March 08, 2013

MTV YAMTAJA MC MKALI NAMBA 1 KWENYE GAME(MTV's HOTTEST MC's IN THE GAME 201


Kendric Lamar ametajwa kama Mc namba 1 mkali hivi sasa kwenye game kwa mujibu wa MTV.List hiyo ina wasanii 10 ambao kwa mujibu wa MTV ndo MC's wakali kwenye game hivi sasa.Namba mbili ni 2Chainz
 2Chainz  namba 2.
Rick Ross the big boss namba 3.
4.Nas
5.Drake
6.Big Sean
7.Kanye West
8.A$AP Rocky
9.Future
10.Meek Mill

0 maoni:

Post a Comment

Labels