Pages

Sunday, March 10, 2013

ALICHOKISEMA KENDRICK LAMAR AMBAYE NI MC BORA KWA MWAKA 2012/2013 KUPITIA MTV

Kendrick Lamar


Anaitwa Kendrick Lamar,Ni msanii ambaye yuko Chini Ya AfterMath Records Ya Dr Dre na Kupitia MTV Amechaguliwa kama MC Bora wa mwaka 2012/2013 kwenye Game kwa sasa.

Kwenye Mahojiano Na Kituo Kimoja Marekani Lamar amesema Kuwa MC Bora kwenye orodha hio ni kitu kikubwa sana japokuwa alishawahi kufikiria kuwepo kwenye Orodha hiyo lakini sio kuwa namba Moja.

Kendrick aliendelea kusema wasanii watalalamika kuwa bado hajawa na kiwango hicho na nimapema sana Ila yeye anadhani kuwa namba Moja kwenye list hiyo amewakilisha Rappers wote wanaochipukia wenye uwezo ambao bado haujaonekana.

Na Hii Ndio Orodha Yenyewe ya Waliochaguliwa
 
1:- Kendrick Lamar 

2:- 2 Chainz

3:- Rick Ross

4:- Nas

5:- Drake

6:- Big Sean

7:- Kanye West

8:- Asap Rocky 

9:- Future
 
10:-Meek Mi

0 maoni:

Post a Comment

Labels