Pages

Friday, November 02, 2012

KUNDI LINALOSUMBUA WILAYANI MAKETE JUMAPILI HII WANAACHIA NGOMA YAO MPYAAAA!!!

 Mr Red kushoto akiwa na Mtangazaji wa Redio Kitulo Fm iliyopo Wilayani Makete Ergon Elly

Empowerment Group Jumapili Hii watakuwa wanatambulisha Ngoma yao Mpya ambayo imefanyika Mo Town (Morogoro) Under The Hit Maker GQ.

Tangu limekuwa kundi mpaka sasa wanangoma mbili wakati MAPENZI NA SHULE ni ngoma yao ya kwanza na hiyo itakayotambulishwa Jumapili hii itakuwa ya Pili

 Y Jay (katikati)

Kundi Hilo mpaka time hii linafanya vizuri na ngoma yao ya Mapenzi na Shule na awali kundi hilo lilikuwa na Jumla ya wasanii watatu lakini mmoja wao amejitoa

AWALI KUNDI LILIUNDWA NA
01;MR RED
02;MACK 4D
03;Y JAY

SASA KUNDI LINAUNDWA NA
01;MR RED
02;Y JAY

0 maoni:

Post a Comment

Labels