Pages

Wednesday, November 28, 2012

TANGAZO LA KIFO CHA MTANGAZAJI WA BOMBA FM CLEMENCE MPEPO


 
  KWA MASIKITIKO MAKUBWA UONGOZI WA REDIO BOMBA FM, TUNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WETU CLEMENCE MPEPO "MZEE WA MAKABILA" ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. 
KWA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA JUU YA UTARATIBU WA MAZISHI NA PIA ENDELEA KUSIKILIZA REDIO.

"Tuchangie kiasi cha Pesa ili kuweza kufanikisha Mazishi ya Rafiki Yetu,Ndugu Yetu na JAMAA Yetu CLEMENCE MPEPO ambaye alikuwa Kiungo Muhimu sana kwenye Tasnia ya Habari kwa kupitia namba 0755 729000 kwa njia ya M-Pesa lakin pia waweza kufika Bomba FM Redio sehemu ambayo Msiba upo kwa sasa kabla ya kuelekea DSM kwa Mazishi... au Wasiliana na Ndugu Djfredy Herbet"

0 maoni:

Post a Comment

Labels