Pages

Friday, November 23, 2012

ANGALIA PICHA WAKATI LORD EYEZ AKIWA STUDIO AKIREKODI NGOMA


Baada ya misuko suko ya hapa na  pale na hatimae kurudi uraiani, msanii kutoka A city Lord eyes, anaonekana kurudi na kuitengeneza upya image yake kwa kudondosha ngoma kwa kasi, kwa fans and friends.
 
Lord ameonekana katika studio za Bongo Records akiwa na majani na msanii Damian akirekod pini.

0 maoni:

Post a Comment

Labels