HISTORIA YA MAISHA & ELIMU YAKE
Historia ya msanii huyo wa muziki wa Bongo flava Mwenye maskani yake Tabata jijini Dar es salaam.
Jina kamili la msanii John Ndimila na jina la kikazi Chagga Bouy amezaliwa Iringa ILULA na Amsoma shule ya msingi Kinyerezi na kuhitmu mwaka 2007.
Alijiunga na Elimu ya Sekondaria katika shule ya MIGO2 SEC-SCHOOL iliyopo Jijini Dar es saalam na kuhitimu mwaka 201.
Mara baada yahapo mwaka 2012 amejiunga na chuo cha Bandari (TPA) Kilichopo maeneo ya Temeke Jijini Dar es salaam.
MAISHA YA MUZIKI
Chagga bouy alianza kuimba mwaka 2000 ila kutokana na kukosa support alishindwa kung'ara kimuziki pia juhudi zake ziligonga mwamba kutokana na kukosa uongozi ambao ungeweza kukuza kipaji chake cha kuimba, mpaka sasa sina meneja wa kuni simamia kazi zangu.
Chagga Bouy kwasasa anafanya poa na kazi yake ya BINJUU iliyotayarishwa na The Hit Maker ZIDADY MWAMBA kutoka USANII PRODUCTION.
PIA AMETOA SHUKRANI KWA;-
Shukrani kwako mtumzima Ergon Sanga a.k.a ELLY,DJ JONA mjukuu wa Mgendera bila kusahau Producer wa usanii production Zidady Mwamba.
Kwa yeyote ambaye yupo tayari kumsupport Chagga bouy wasiliana nae kwa;-
Simu;-0712-70 39 10
Email;-chaggabouy@yahoo.com
Facebook;-Chagga Bouy
Facebook;-Chagga Bouy
Endelea kutembelea mtandao huu ilikupata wimbo wake.
0 maoni:
Post a Comment