Pages

Saturday, November 24, 2012

DAZ BABA SASA NA SAUTI ZETU


Baada ya kukaa kimya  muda mrefu sasa mtu mzima Daz Baba amerudi na bonge moja la truck inaitwa SAUTI ZETU na ni track ambayo ikotofauti pia amemshirikisha jamaa mzaliwa wa sweeden ingawa yupo hapa bongo jamaa anaitwa KABOKU MANKONKA na Imetayarishwa na  mtu mzima  RAJAH katika studio za RAJAH RECORDS,,,, 

kiukweli ukiangalia hapa ni vitu vya kitofauti zaidi kuanzia production mpaka collable majina haya kiukweli ni mageni hata kwako na kwangu pia time ambayo daz baba alimpigia simu deejay jona kumpa taarifa za ujio wake mpya deejay jona alihisi na kuuliza production ni p funk majani coz tumezowea kusikia truck za daz baba kupikwa na mkongwe wa vinu majani.

0 maoni:

Post a Comment

Labels