Pages

Thursday, November 22, 2012

ROZAY AMEAHIRISHA SHOW BAADA YA KUPOKEA TAARIFA ZA VITISHO




Rapper kutoka MMG The Big Boss Rich Ross "Rozay" amelazimika kuahirisha kufanya show katika jimbo la Tennessee lilopo kusini mwa Marekani baada ya kupokea Taarifa za vitisho kutoka katika kundi la Gansters.

Kundi hilo liliweka  Ujumbe wenye vitisho hivyo kwenye mtandao ''YouTube''

0 maoni:

Post a Comment

Labels