Pages

Sunday, November 25, 2012

RAPPER NEY WA MITEGO APATA MTOTO WA KIUME

Msanii wakizazi kipya anayefanya poa katika kazi zake si mwingine ni Ney wa Mitego Jana usiku ilikuwa ni siku ya Furaha kwake kutokana na Kupata Mtoto wa Jinsia ya Kiume.

Familia ya wasanii wa Bongo Flava inazidi kukua kwa kasi baada ya msanii wa hip Hop kutoka pande za Manzese, Ney wa Mitego kupata mtoto, ambaye bado hajapewa jina.

Msanii Ney wa Mitego alielezea hisia zake za furaha mara baada ya kupata mtoto huyo.

Inaonekana msimu huu wa kuelekea sherehe za mwisho wa mwaka kuna watoto wengi sana watakaopatikana kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

Rapper huyo kwa sasa anatamba na kazi yake ya Nasemanao ikiwa katika mtindo wa Remix.
Well, hongera Brother.
Endelea kutembelea mtandao huu ili kujua Jina la Mtoto

0 maoni:

Post a Comment

Labels