Nyota wa muziki wa kizazi kipya na aliye kuwa Mtangazaji wa Redio Clouds Fm si mwingine ni Godpray Kweka maarufu kama Baghdad
ameshakamilisha wimbo wake kwaajili ya kumuombea aliye kuwa mwanamuziki na
mchekeshaji mwenzake marehemu Hussein Mkiety 'Sharo Milionea' aliyefariki
kwaajali ya gari huko Tanga Muhenza tarehe 26/11/2012 majira ya saa mbili usiku
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ
3 months ago
0 maoni:
Post a Comment