Pages

Friday, November 23, 2012

SIJUTII KUWA NAE NI UJIO MPYA WA IZZE MARTIN

Hii ni mara baada ya kutambulisha ngoma yao ya pamoja ambayo aliifanya na Msanii mwenzake Milyo sasa jamaa ameamua kurudi pekeyake na kazi hiyo ya SIJUTII KUWA NAE.

Izze aliandika ujumbe huu kwenye Ukurasa wake wa Facebook 

"brand new song coming soon ..baada ya kutambulisha ngoma mpya inayo itwa huyu ni ya hip hop and r and b itatambulishw siku ya j5 kwenye radio"

0 maoni:

Post a Comment

Labels