Pages

Tuesday, November 20, 2012

VIDEO MPYA YA O.P.K KWENYE TV YAKO SOON


Hii ni video mpya kufanyika nyanda za juu kusini ikiwa na viwango vya hd,,,,,, Audio imefanyika katika Studio za Robbie's Record chini ya producer Prince Jerome na  track inaitwa sijamwona Artist anaitwa O.P.K.

Video imefanyika chini ya director Robin na wakazi wa nyanda za juu kusini wategemee vitu vzuri kama pia kama unahitaji video bora audio bora robbie's production tumedhamiria kubadilisha mfumo mbovu wa zaman na kuingia katika viwango vya kimataifa dats all.

0 maoni:

Post a Comment

Labels