Pages

Thursday, November 22, 2012

BRAND NEW MUSIC DOWNLOAD;-CHAGGA BOUY - BINJUU

Chagga bouy alianza kuimba  mwaka 2000 ila kutokana na kukosa support alishindwa kung'ara kimuziki pia juhudi zake ziligonga mwamba kutokana na kukosa uongozi ambao ungeweza kukuza kipaji chake cha kuimba, mpaka sasa sina meneja wa kuni simamia  kazi zangu.
Chagga Bouy kwasasa anafanya poa na kazi yake ya BINJUU iliyotayarishwa na The Hit Maker ZIDADY MWAMBA kutoka USANII PRODUCTION.
PIA AMETOA SHUKRANI KWA;-
Shukrani kwako mtumzima Ergon Sanga a.k.a ELLY,DJ JONA  mjukuu wa Mgendera bila kusahau Producer wa usanii production Zidady Mwamba.


Kwa yeyote ambaye yupo tayari kumsupport Chagga bouy wasiliana nae kwa;-
Simu;-0712-70 39 10 
Email;-chaggabouy@yahoo.com
Facebook;-Chagga Bouy

0 maoni:

Post a Comment

Labels