Pages

Monday, November 19, 2012

KUNDI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP LIPO KWENYE MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAZI YAO MPYA

Y JAY
 
 Kundi la Muziki linalofanya poa Mkoani Njombe katika Wilaya ya Makete La Empowerment Music Group (EMG) linalohusisha washikaji wawili yaani AHAZ NDELWA a.k.a Y JAY na EFRAIM EDWARD a.k.a Mr R.E.D wapo kwenye maandalizi ya Uzinduzi wa kazi yao mpya iitwayo SI KOSA LAKE iliyofanyika katika Studio za DIGITAL VIBES iliyopo MO TOWN (Morogoro) kwa The Hit Maker GihCue (GQ TownDady) ikiwa nipamoja na kufanya ziara ya kuwatembelea Watoto wanaoishi katika Maisha Hatarishi ambao wanalelewa katika VITUO VYA WATOTO YATIMA mwanzoni mwa Mwezi ujao.

Kwa yeyote ambaye yupo tayari katika kuchangia watoto yatima basi tumia namba zifuatazo kwa mawasiliano na wahusika watakao fanya ziara Hiyo.
Mr R.E.D;-0752230327 
Y JAY;-0766/0655272159

Na hii ni Kazi ambayo itatambulishwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu.


Na hii ya pili inaitwa Mapenzi na Shule ngoma yao ya kwanza katika Game na ilifanyika katika studio za Mahewa Record's chini ya Tris feat Willy kazi haitafanyiwa uzinduzi ila utaisikia wakiperform kwa stage.

0 maoni:

Post a Comment

Labels