Pages

Sunday, November 18, 2012

KEYSHIA, ASHANTI 'WAGONGANISHWA' KATIKA 'WOMAN TO WOMAN'




Keyshia Cole na Ashanti wamefanya mambo makubwa katika wimbo wa 'Woman to Woman' ambao umebeba jina la albamu ya tano ya Keyshia, itakayoingia sokoni jumatatu

Akinadada hao wanaimba kuhusu mwanaume mmoja ambaye amekuwa na mahusiano nao ya kimapenzi wote wawili lakini baada ya kugombana kutokana na jambo hilo wanakaa pamoja na kulifanyia kazi suala hilo

0 maoni:

Post a Comment

Labels