T.I.D anafanya poa na kazi yake ya kiuno amboyo amemshirikisha Ngwea atakuwa na shughuli ya kuwapa burudani Mafuns wa muziki NDANI YA MALAYSIA Saturday 8th mwezi Desemba mwaka huu.
Show itapigwa katika Club ya PHILEO DAMANSARA huku kwenye 1 na 2 watasimama DJ ROSS,DJ EMPIRE & DJ DERO.
0 maoni:
Post a Comment