Pages

Tuesday, November 20, 2012

PREZZO SASA KUHAMISHIA MAKAZI YAKE NCHINI NIGERIA



Mshind wa BIG BROTHER AFRICA Kwa Mwaka 2012 kutoka Nchin kenya na ambaye anafanya poa na kazi yake ya FOR SHOW FOR SHIZO si mwingine ni Prezzo CMB  amesema anataka kuhamishia makazi yake Nchini Nigeria ilikukuza muziki wake licha ya hilo Prezzo anampango wa kuonyesha kuwa yeye hana kipaji kimoja tu bali vipo rukuki akimaanisha kuwa anauwezo wakuigiza pia Prezzo anampango wakukutana na waigizaji wa Nollywood ilikuigizana nao Movie moja.

Prezzo aliongeza kuwa anampango wa kuachia Ngoma yake mpya ambayo itakuwa katika Album yake mpya ambayo ipo kwenye maandalizi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels