Pages

Monday, November 26, 2012

NOVEMBA 27,2012 ''GIRL ON FIRE''ALBUM YA MWANADADA ALICIA KEYS INAINGIA KITAA


Anaitwa Alicia Keys aka Mrs Swizz Beats .ambaye yuko tayari kabisa kudrop kwako albam aliyoipika kwa miaka kama miwili na nusu hivi..”Girl On Fire” ambayo rasmi imepangwa kudrop kesho Nov 27 chini ya lebel ya RCA…

Sasa kabla hajaidrop kwako albam hiyo…Alicia Keys ameona sio mbaya kama aki-share nawe japo kidogo utamu ulioko ndani yake kwa kukusikilizisha baadhi ya nyimbo kupitia SoundCloud.

Kwa taarifa yako…mbali na Alicia Keys mwenyewe humo ndani pia zinasikika sauti za Nicki Minaj, Maxwell, Krucial, BabyFace, Jeff Bhasaker, Gary Clark Jr, Emeli Sande, Jamie X na wengineo…

0 maoni:

Post a Comment

Labels