Pages

Thursday, November 22, 2012

CHECK OUT NA PICHA ZA MTOTO WA MSANII WA BONGO FLEVA NA NJENGE PAMOJA NA NDINGA LAKE

Mtoto wa msanii wa R&B hapa bongo Rama D aliyezaa na mchumba wake ambaye ni Mzungu raia wa Australia anayeishi nae nchini humo na wana mpango wa kufunga ndoa pamoja mambo yatakapokamilika
Hiyo ndo nyumba ambayo Rama D anayefanya poa na ngoma ya 'Kuwa na Subira' anaishi
Rama D Akitembea ufukweni mwa bahari
 
Na hilo ni gari ambalo Rama D analitumia

0 maoni:

Post a Comment

Labels