Pages

Tuesday, August 13, 2013

Wauza ‘UNGA’ 250 Hawa Hapa” – Gazeti la JAMHURI

Hii ndiyo orodha iliyopewa kichwa cha habari “Wauza ‘Unga’ 250 Hawa Hapa” yenye majina 255 iliyochapishwa na Gazeti la JAMHURI Jumanne Juni 13-19, 2013 linayodai (gazeti hilo) kuwa ni ya Watanzania wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

MY TAKE: Kama orodha hii ni ya uhakika kama Gazeti la JAMHURI linavyodai (japokuwa kuna majina yanayojirudia kama #113 na #219), basi tunaona muendelezo uleule wa majina ya DAGAA badala ya PAPA ambao ndio wahusika wakuu katika biashara hii ya dawa za kulevya. Pia baada ya kuangalia majina haya, nina wasiwasi kuwa yawezekana wengi walio katika orodha hii ni watumiaji tu au wasambazaji wadogo wadogo kule mitaani.
SOURCE: Gazeti la JAMHURI
Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (1) - Gazeti la Jamhuri

Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (2) - Gazeti la Jamhuri
Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (3) - Gazeti la Jamhuri

0 maoni:

Post a Comment

Labels