Pages

Sunday, August 18, 2013

RAY C AWASHAURI MATEJA WA MADAWA YA KULEVYA

Ray C akiwa na waathilika wa madawa ya kulevya
 
rayc1982Mungu ni Mkubwa sana.....wote hawa tuliokaa hapa tuliathirika na Madawa ya Kulevya na Tumepona kwa kunywa Dawa Moja tu inayoitwa Methadone na inapatikana Muhimbili na Mwananyamala Pekee na ni Bure Kabisa,
 
Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea dawa hii,Ningependa kuwashauri walioathirika na madawa,iwe wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba,jirani au yoyote alie karibu na wewe,usiogope Amua tu kwamba unataka kupona,nenda kanywe hii dawa utapona kabisa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels