Je Rick Ross Bado Anafanya Kazi Na Reebok..
Ni
swali linalo ulizwa na mashabiki wengi wa MMG Na Wa Rapper Rick Ross na
kazi zake.
Fahamu kuwa kwa sasa Rapper huyo anatangaza ujio wa album
yake mpya ya Self Made 3 na kwenye mkusanyiko wa picha alizo toa kwenye
promo ya album hio ni hii picha inayo onyesha bidha za Reebok pembeni ya
gari
0 maoni:
Post a Comment