Pages

Tuesday, August 06, 2013

HII NDIO THE BEST OF RAMA DEE


The Best Of Rama Dee Ni Mkusanyiko wa nyimbo za Rama Dee Anazozipenda na zinazopendwa zaidi, Fahamu hizi ndio nyimbo za Rama Dee Zilizo Pokelewa na kufanya Vizuri kwenye masikio ya watu. 

Uamuzi huu wa kutoa Compilation ya The Best Of Rama Dee umehamasishwa na maombi ya WaTanzania wanaoishi nje na ndani ya Tanzania. 

Mkusanyiko Huu wa nyimbo hizi za Rama Dee Utauzwa Kwenye mitandao tofauti kama Amazon, Itunes, Nokia, Google Play na My Space.

The Best Of Rama Dee Itakuwa Na Nyimbo 13, Orodha Ndio Hii 
1] Kama Huwezi
2] Sarah
3] Kuwa Na Subira
5] Kikao Cha famili
6] Tomorrow
7] Sina Time
8] Mama Watoto
9] Make Up
10] Usifiche
11] Najua
12] Wanahofia
13] Sio Waowaji

0 maoni:

Post a Comment

Labels