Pages

Tuesday, August 13, 2013

List: Zaidi ya wasanii 20 kuzindua tamasha la Fiesta Kigoma jumamosi hii


Tamasha la Fiesta lonalotarajiwa kuzinduliwa Kigoma tarehe 17 August, umetangaza list nzima ya wasanii watakao perfom siku hiyo ambao ni G Nako, Joe Makini, Nikki wa pili, Godzila, Barnaba, Amini, AY, Stamina, TID, Shilole, Shetta, Madii, Recho, Baba Levo, Linex, Mwana FA,Makomando, Ney Wamitego, Cassim Mganga na Nikki Mbishi

0 maoni:

Post a Comment

Labels