Bob
Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama
amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni
mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya.
Weekend
iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama
anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ
3 months ago
0 maoni:
Post a Comment