Pages

Friday, August 16, 2013

Fahamu Kuhusu Uzinduzi Wa Filamu Mpya Ya Lulu ' Foolish Age'



Mwigizaji bora wa Kike Mwenye tuzo ya ZIFF Lulu Diana Elizabeth anakaribia kuzindua filamu yake mpya Inayoitwa 'Foolish Age' Tarehe 30/ August / 2013 Pale Mlimani City Hall Kuanzia Saa Moja Jioni. Kiingilio ni 30000. Burudani kutoka kwa Lady Jay Dee Na Machozi Band. Karibu.

0 maoni:

Post a Comment

Labels