Pages

Tuesday, August 06, 2013

STAILI MPYA YA NYWELE YA MSANII LINEX KWAAJILI YA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA,'KIMUGINA'


Msanii Linex ameachia ngoma yake mpya 'Kimugina' wiki iliyopita.
Amebadilisha staili ya nywele kwaajili ya kushoot video ya ngoma hiyo chini ya Adam wa Visual.
Linex alisema kuwa video ya ngoma hiyo itakuwa kali kuliko video zake zote na amejipanga kuisambaza mpaka televisheni za nje ya Tanzania kwaajili ya kuutangaza muziki wake.

0 maoni:

Post a Comment

Labels