Pages

Friday, August 16, 2013

Wasanii wa Bongo fleva waliokuwa wakielekea Kigoma kwa ajili ya Fiesta watembelea kaburi la marehem Ngwear


Wasanii wa Bongo fleva watembelea kaburi la marehem Albert Mangwea,(Kihonda)  asubuhi ya leo na kumuombea dua pale walipokuwa wakipita kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kukitifua kwenye uzinduzi wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu linaanzia mkoani Kigoma.
 
Fiesta inatarajiwa kuzinduliwa siku ya Juma Mosi ndani ya viwanja vya Lake Tanganyika kwa kiingilio cha shilingi 3000 tu, huku zaidi ya wasanii 25 watapanda stage.

0 maoni:

Post a Comment

Labels