Pages

Tuesday, August 06, 2013

FAHAMU KUHUSU NICK MINAJ KUANDIKIWA NYIMBO | KUMTUNGIA MASHAIRI

Kama miaka 2 iliyopita palikuwa na Beef kati ya Joe Budden na Rapper Ransom kuhusu umiliki wa mashairi ya baadhi ya nyimbo za Joe. 
 
Sasa Rapper Ransom amesema yeye ndio [Ghost Writer] wa Nicki Minaj au kwa lugha nyingine Ransom anamwandikia Rapper wa Young Money Nicki Minaj mashairi kwa siri na kwamba amekuwa akifanya hivyo kwa muda sasa. 
Fahamu kuwa Nicki Minaj amekuwa akisema kila mara kuwa hajawahi kuandikiwa na huwa anaandika mashairi yake mwenyewe.Tunasubiri jibu kutoka kwa Nicki Minaj Kuhusu Tuhuma za kuandikiwa mashairi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels