Pages

Monday, November 05, 2012

OMMY DIMPOZ AMEPANGA KUWAFANYIA SURPRISE MAFUNS WAKE.


Mkali wa swaggs katika Ngoma zake si mwingine namzungumzia Ommy Dimpoz anaye fanya poa na ngoma yake ya Baadae iliyofanyika katika Studo za Combination Sound Under The Hit Maker Man Walter amepanga kuwafanyia Bonge moja la surprise mafuns wake ifikapo tarehe 15,11,2012

Kwa kuachia Ngoma mpya ambayo siku itakapofika ndipo atasema katika Ngoma hiyo walio husika kuanzia Producer Mpaka msanii aliyeshirikishwa katika ngoma hiyo.



Akipiga stori na Ergon Elly katika kipindi cha 970 show l eo Ommy Dimpoz amesema anampango wakufanya Collable na wasanii wakubwa sasa licha ya ileproject aliyokuwa anatarajia kuifanya na Mkali wa Afrika kusini DJ CLEO kuahirishwa kutokana namambo kuwa mengi.
Ommy aliongeza kuwa pindi michongo itakapo kuwa poa atawataja wasanii hao ambao anampango wa kufanya nao joint.















0 maoni:

Post a Comment

Labels