Pages

Monday, November 05, 2012

ALICHO KISEMA MKURUGENZI WA KUNDI LA MUZIKI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP KUHUSIANA NA NGOMA YAO MPYA.


Mkurugenzi wa Empowerment Music Group(EMG) Bw Abraham Sanga amesema anamshukuru Mungu vijana wake kufanya vizuri katika kazi yao mpya kwani kile ambacho alikitegemea ndicho vijana wamekifanya

Vilevile amempongeza Producer GihCue (GQ) wa Digital Vibes kutoka Morogo (Mo-Town) kwa kutengeneza Bonge la Mzigo.

Akiongea na Mmiliki wa Blog Hii Ergon Elly Mkurugenzi amesema yupo kwenye maandalizi ya kufanya video ya ngoma hiyo mpya ya SI KOSA LAKE.

0 maoni:

Post a Comment

Labels