Pages

Sunday, October 13, 2013

HUU NDIO UJIO MPYA WA HAMAGUY MEMBER WA SOLIDG ROUND FAMILY.


Mambo vipi..naomba unisaidie kuweka picha yangu kwenye brog yako hii ni kwa ajili ya kuutangaza ujio wangu mpya unaitwa tungejua ya mbele ngoma nimefanya mimi hamaguy wa solid ft mary lucos na gucci bandana.


Ngoma inazungumzia mambo yanayotutokea pasipo sisi kutegemea...ngoma imefanyika mazuu record na nitaiachi siku si nying..ngoma ipo ndan ya solid ground family na hii kuwafanya wasikilizaji wetu wazidi kutusikia ndomana unaona kuna tozi mpya hewan kabla haijachuja nami natokana na hii tungejua ya mbele..asante naomba ushirikiano wako..kama kuna chochote nipigie kwa namba 0713506032 kwa maelezo zaid.

0 maoni:

Post a Comment

Labels