Pages

Sunday, October 20, 2013

FUTURE AMFUNGULIA MASHITAKA DREEZY

future-drake 

Future msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba ametoswa kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”. 

Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.

Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii watakaofanya tour hiyo.

Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana kama angeikosa hii tour kwasababu ina show za kutosha ambazo zinamuigizia pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua mashataka ya kudai fidia ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba ametolewa kwenye tour
Show ya Future kwenye “Would you like a tour”

0 maoni:

Post a Comment

Labels