Pages

Sunday, October 13, 2013

RAPPER THE GAME AMTUPIA DISS NYINGINE KWA RAPPER 50 CENT WA G UNIT


Diss nyingine kutoka kwa rapper Game kwa 50 Cent na this time inahusu kurudi G Unit.
 
Rapper Game amelianzisha tena na hasimu mwenzake 50 Cent kwa kumtaja yeye na kundi lake la G Unit kwenye wimbo wa 'Hollywood' Ambao upo kwenye mixtape yake mpya ya "OKE".


Joint hii Imetoka October 11 na kashirikishwa rapper Scarface

0 maoni:

Post a Comment

Labels