Pages

Friday, October 11, 2013

UJIO MPYA WA RAPPER STAMINA KUTOKA MOROGORO

Baada ya kufanya wazo la leo na Majani tarajia pini jingine kutoka kwa Stamina na Majani

Kama picha inavyoonyesha, Majani akiwa kazini na Stamina, baada ya Wazo la leo kufanywa na Majani na kufanya vizuri Tanzania, tarajia pini jingine kutoka Bongo Records.

0 maoni:

Post a Comment

Labels